Fainali ya Ligi ya NBA Marekani: 'Boston Celtics inadalili za kuibuka mshindi

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi wanasema timu ya Boston Celtic inauwezo mkubwa wa kunyakua taji la mwaka 2022 katika Fainali ya Michuano ya Ligi ya NBA Marekani.