Fahamu ugonjwa wa utism na changamoto zake

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii mwandishi wetu Mkamiti Kibayasi anaangalia tatizo la Utism Spectrum Disorder ambalo ni kundi la matatizo lenye sifa zinazofananana, pia anatuelezea changamoto zake. Endelea kumsikiliza...