Fahamu faida za teknolojia mpya ya 5G Duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Mtaalam aeleza jinsi teknolojia ya 5G inavyosaidia kuunganisha mawasiliano kwa sekunde chache kwa urahisi zaidi kuanzia nyanja za burudani hadi sekta ya utoaji wa huduma za afya na changamoto zake kwa nchi nyingi kuingia katika mtandao huo.