Facebook yaweka historia kwa huduma zake kukatizwa

Your browser doesn’t support HTML5

Facebook yaweka historia katika ulimwengu wa mitandao ya jamii baada ya huduma zake kukatizwa kwa muda mrefu zaidi kwa mara ya kwanza kutokana na hitilafu za kimitambo zilizoathiri vituo vya data kote duniani.