Facebook yapeleka ujumbe kwa viongozi wa dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Facebook yasisitiza kanuni zilizo mzuilia Rais wa zamani Donald Trump kutumia Facebook ndio zinazo wazuilia watu wa kawaida kufanya hivyo wakati wanakiuka utaratibu uliowekwa na mtandao huo.