Euro 2020 : Wapinzani wa jadi wachuana Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Mtanangi wenye upinzani wa jadi utashuhudiwa katika michuano ya Euro 2020 Ijumaa wakati Uingereza ikikutana na Scotland katika uwanja wa Wembley ambapo upinzani kati ya mafahali hao wawili unarudi nyuma tangu 1872.