Euro 2020 : Hali ya mchezaji wa Denmark yaendelea kuimarika

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya mchezaji wa Denmark inaelezwa kuimarika tangu alipopatwa na mshituko wa moyo na kuanguka timu yake ilipokuwa ikicheza michuano ya ufunguzi ya Euro 2020 na Finland siku ya Jumamosi.