EU yatoa msaada kunusuru uchumi wa nchi wanachama

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kutenga dola bilioni 430 kunusuru uchumi wa wanachama wake ulioathirika na COVID-19.