Ethiopia: Blinken akutana na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali na wawakilishi wa Tigray

Your browser doesn’t support HTML5

Sherehe ya kitamaduni ya kunywa kahawa ilikuwa ni mwanzo mzuri kwa mikutano ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken nchini Ethiopia.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea muhtasari wa mazungumzo ya Blinken na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali kuu na wa Tigray, wakati pande zote zikiwa na hamu kubwa ya kufikia ushirikiano.