Eriksen alenga Kombe la Dunia baada ya afya yake kuimarika

Your browser doesn’t support HTML5

Nyota wa soka wa Denmark Christian Eriksen analenga kurejea kutoka katika mshituko wa moyo kuichezea Denmark katika Kombe la Dunia.