Erik ten Hag ateuliwa kuwa meneja mpya wa Manchester United
Your browser doesn’t support HTML5
Manchester United wamemteua Erik ten Hag, Mholanzi anayeaminiwa kocha bora kabisa hivi sasa ulimwenguni kuwa meneja mpya na amekubali kusaini mkataba wa miaka mitatu.