Eric Omondi azua gumzo Kenya, akamatwa na polisi

Your browser doesn’t support HTML5

Msanii Eric Omondi azua gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kutangaza ataongoza timu ya kubadilisha sheria ya kuwalinda wasanii na kupelekea kukamatwa na polisi akiwa anaelekea Bungeni.