Equatorial Guinea yamfukuza Mwakilishi wa WHO

Your browser doesn’t support HTML5

Equatorial Guinea imemfukuza mwakilishi wa WHO kwa madai kuwa ametoa taarifa zisizokuwa sahihi juu ya maambukizi ya COVID-19.