Eneo la Sahel kushuhudia harakati zaidi za kijeshi
Your browser doesn’t support HTML5
Viongozi wa kimataifa wa kieneo wanaojadili usalama katika eneo la Sahel wamekubaliana katika mazungumzo yao wiki hii kuzidisha kampeni za kijeshi dhidi ya wanamgambo wa Kiislam.