Eneo la mgodi lililobadilika kuwa kumbukumbu ya Septemba 11

Your browser doesn’t support HTML5

Sura mpya Pennsylvania, eneo la maadhimisho ya kitaifa, ambalo kabla lilikuwa mgodi na sasa ni eneo la kuwaenzi wahanga waliofariki baada ya kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege iliyotekwa na magaidi