ECOWAS na viongozi wa Mali wakubaliana kuwepo utawala wa kiraia
Your browser doesn’t support HTML5
Mazungumzo kati ya ujumbe wa ECOWAS unaongozwa na Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan na viongozi wa Mapinduzi Mali wajadili kurudi serikali ya kiraia kwa haraka.