Ebola yaendelea kusambaa mashariki mwa DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema Watu wengine wawili katika jimbo la Equator waathirika kwa virusi vya Ebola na kuenea katika eneo jingine jipya ambako kuna maambukizi 6.