Duniani Leo September 15, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, na mawaziri wa mambo ya nje wa Bahrain watatia Saini makubaliano leo na Israel katika Ikulu ya White House kuanzisha ushirikiano kamili kinyume na mpango wa amani wa nchi za kiarabu.