Duniani Leo : Septemba 8 : Viongozi wa kijeshi Guinea wawaachia huru takriban wafungwa 80

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa kijeshi waliochukuwa madaraka Guinea wamewaachilia huru takriban wafungwa 80 kabla ya mkutano wa Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS.