Duniani Leo : Septemba 16 : Kenya kuanza kutengeneza chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Kenya yasema itaanza kutengeneza chanjo ya COVID-19 nchini mwake
- Rais wa Somalia amuondolea madaraka Waziri Mkuu wa nchi hiyo.

- Wakimbizi wa Eritrea wakumbwa na unyanyasaji wa kupindukia.