Duniani Leo Septemba 16, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania yaruhusu nchi 15 kupitia balozi zao kuleta waangalizi katika uchaguzi mkuu.
Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kinaendelea New York.