Duniani Leo Septemba 10, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea urais wa Marekani Trump na Biden waimarisha safari zao wiki hii kuelekea kwenye majimbo yenye ushindani mkubwa, ikiwemo eneo la ajali moja kati ya ndege tatu zilizotekwa nyara na magaidi siku ya shambulizi la Septemba 11.