Duniani Leo Septemba 03, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika ya kutetea haki za binadamu na kiraia Beni, DRC yaeleza wasiwasi juu ya elimu ya watoto shule za msingi na sekondari wanaoishi katika mazingira magumu.
Marekani imefuta sehemu ya msaada wake wa fedha kwa Ethiopia kutokana na kukwama kwa mazungumzo kati ya Misri na Sudan kuhusu ujenzi wa bwawa kubwa
la kufua umeme Ethiopia.