Duniani Leo : Maelfu wajitokeza kumzika Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza

Your browser doesn’t support HTML5

Miongoni mwa viongozi wa nchi za Afrika Mashariki waliohudhuria mazishi ya Nkurunziza ni waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, na rais wa zamani wa nchi hiyo, Jakaya Mrisho Kikwete.
-Tume ya Uchaguzi nchini Malawi yatarajiwa kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Rais Jumamosi