Duniani Leo: Rais Tshisekedi akutana na Rais Macron

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi na mwenyeji wake rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, wamelaani ghasia zinazojitokeza nchini Chad pamoja na baraza la kijeshi kunyakua madaraka baada ya kifo cha rais Idriss Deby.