Duniani Leo : Oktoba 20 : Kenyatta aondoa marufuku ya kutotoka nje Kenya nzima

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza Jumatano kuondoa marufuku ya kutotoka nje nchi nzima iliyowekwa kutokana na janga la virusi vya corona.