Duniani Leo : Octoba 7 : Prof Gurnah apewa tuzo ya Nobel ya Fasihi

Your browser doesn’t support HTML5

Mwandishi mzaliwa wa Tanzania Abdulrazak Gurnah apewa tuzo ya Nobel ya Fasihi. Gurnah, aliyekulia visiwani Zanzibar na kuhamia nchini Uingereza kama mkimbizi katika kipindi cha mwisho cha miaka ya 1960, ni Muafrika wa tano kushinda tuzo ya Fasihi ya Nobel.