Duniani Leo : Oct 18 : Jenerali Colin Powell afariki dunia akiwa na miaka 84

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani waomboleza kifo cha Mmarekani Mweusi wa kwanza kushikilia wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani kilichotokana na matatizo yaliyosababishwa na COVID-19.