Duniani Leo : Novemba 19 : Blinken : Rais Biden kufanya mkutano na viongozi wa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken ameeleza kuwa Rais Biden amepanga kufanya mkutano na viongozi wa Afrika.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari