Duniani Leo : Novemba 17 : Blinken afanya mazungumzo na Rais Kenyatta

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akutana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika ziara yake nchini Kenya.
- Uganda yachukuwa tahadhari baada ya shambulizi la kigaidi la Islamic State.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari