Duniani Leo : Novemba 15 : Waziri Blinken kuzuru baadhi ya nchi za Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anaanza ziara katika baadhi ya nchi za Afrika wiki hii.
Rais wa Marekani Joe Biden anafanya mazungumzo na Rais wa China Xi JInping.

Mwandishi wa habari wa Marekani aliyehukumiwa miaka 11 jela nchini Myanmar wiki iliyopita aachiliwa huru Jumatatu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari