Duniani Leo : Novemba 11 : Marekani yaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa 11 Novemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Siku ya Mashujaa, maarufu kama siku ya Armistice, ni sikukuu ya serikali kuu inayo sheherekewa Novemba 11 kwa ajili ya kuwaenzi wanajeshi wa zamani. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari