Duniani Leo Mei 29, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

- Maandamano yaendelea sehemu mbalimbali kulaani vitendo vya polisi kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd aliyekufa akiwa mikononi mwao.
-New York yatangaza mkakati wa kufungua shughuli za kawaida kwa njia salama baada ya mji huo kuweka amri kali ya kutotoka nje kufuatia janga la corona.