Duniani Leo : Mei 26 : Tishio la matetemeko mapya bado lawakabili wakazi wa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya wasiwasi yaendelea DRC kutokana na matetemeko ya ardhi yaliyosababishwa na mlipuko wa volcano.
- Juhudi za kidiplomasia za kusitisha mapigano kati ya Jeshi la Israeli na kundi la Hamas zinaendelea.

- Marais wa Marekani Joe Biden na wa Russia Vladimir Putin watakutana mwezi ujao mjini Geneva.