Duniani Leo Mei 22, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Ndege iliyobeba watu 107 yaanguka katika makazi ya watu nchini Pakistan.
Rais Donald Trump asema shughuli nchini Marekani haziwezi kufungwa tena hata kukiwa na mlipuko mwengine wa COVID-19 nchini.