Duniani Leo Mei 15, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

- Zaidi ya watu milioni 4 wameambukizwa virusi vya corona, na 300,000 kufariki kutokana na maambukizi duniani.
-Rais Donald Trump atishia kuvunja mahusiano na China.
-China yasema uhusiano mwema kati ya nchi hizo mbili ni kwa manufaa ya dunia nzima.