Duniani Leo : Mei 12 : Museveni aapishwa kuongoza tena Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Yoweri Museveni ameapishwa Jumatano kuwa Rais wa Uganda katika muda mwengine wa uongozi.
- Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Monusco, nchini DRC watangaza kuunga mkono juhudi za dharura zilizowekwa na Rais Tshisekedi.

- Mashambulizi ya roketi kati ya Israeli na Palestina yaongeza wasiwasi.