Duniani Leo : Machi 8 : Maisha yaanza kurejea taratibu hali ya kawaida

Your browser doesn’t support HTML5

Maisha yameanza kurejea taratibu katika hali ya kawaida baada ya mwaka moja wa janga la Corona Marekani
- Dunia inaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.

- Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis akamilisha ziara yake Iraki