DUNIANI LEO : Machi 12 : Biden awataka Wamarekani kushirikiana dhidi ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden awataka Wamarekani kushirikiana kulishinda janga la Corona.
- Rais Kenyatta alihutubia Taifa baada ya Mwaka mmoja tangu kuripotiwa janga la Corona nchini humo.
- Watu wenye silaha kaskazini mwa Nigeria wawateka takriban wanafunzi 30.