Duniani Leo : Machi 10 : Kenya yaridhia makubaliano ya biashara na Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya vuta nikuvute Wabunge wa Kenya waridhia makubaliano ya biashara na Uingereza
- Maandamano yaendelea kuzuka nchini Senegal kupinga serikali.

- Marekani wataka serikali ya Ethiopia kuruhusu wachunguzi wa kimataifa kuingia Tigray.