Duniani Leo : Maalim Seif Sharif azikwa kijijini kwao, Wete, Pemba

Your browser doesn’t support HTML5

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad azikwa Alhamisi.
- Idadi ya vifo vilivyo ripotiwa katika bara la Afrika kutokana na COVID-19 yakaribia laki moja.

- Rais wa Somalia atoa wito kufanyika mkutano mara moja kutatua mzozo wa uchaguzi.