Duniani Leo : Juni 9 : Rais Biden aanza ziara ya kikazi Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden aanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuingia madarakani.
- Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aahidi kwamba watengenezaji wa silaha haramu watakao jisalimisha watapewa kazi na serikali.

- Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris arejea nyumbani kufuatia ziara yake ya Amerika ya Kati.