Duniani Leo : Juni 7: Wakazi wa Goma waanza kurejea, hali ya volcano shwari

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wakazi wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbia makazi yao kutokana na mlipuko wa volcano waanza kurejea makwao.
Uganda yaanza kutekeleza masharti makali yaliyotangazwa na Rais Yoweri Museveni kukabiliana na ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili Guatemala katika ziara ya kwanza tangu kuingia madarakani