-Baadhi ya walimu na wanafunzi wa Afrika Kusini waandamana wakitaka shule zifungwe tena kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19.
Duniani Leo Juni 25, 2020
Your browser doesn’t support HTML5
-Vyombo vya habari vya Malawi vimeripoti kuwa kiongozi wa upinzani anaongoza kwa asilimia 55 katika uchunguzi wa rais.