Duniani Leo : Juni 24 : Watu takriban 10 wafariki kwenye ajali ya helikopta Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Watu wasiopungua 10 wafariki kwenye ajali ya helikopta ya jeshi nchini Kenya
- Ethiopia yakanusha ripoti ya kuwa ililenga makazi ya raia katika shambulizi la hivi karibuni kwenye jimbo la Tigray.

- Wakazi wa DRC walioathiriwa na mlipuko wa volcano waendelea kulalamika juu ya ugumu wa maisha.