Duniani Leo : Juni 22 : Uchaguzi Mkuu : Kura zaendelea kuhisabiwa Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Zoezi la kuhisabu kura laendelea nchini Ethiopia huku upigaji kura ukiendelea kwa siku ya pili katika baadhi ya maeneo. e