Duniani Leo Juni 19, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

- Amy Klobuchar amuomba Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrat Joe Biden kutomchagua kuwa makamu wake
Vijana waliokuja wakiwa wadogo na wazazi wao waliokimbilia Mmarekani maarufu kwa jina la DACA washeherekea uamuzi wa mahakama kusitisha matakwa ya Rais Trump.