Duniani Leo : Juni 18 : Dunia yaendelea kuomboleza kifo cha Kaunda

Your browser doesn’t support HTML5

Salamu za rambirambi zaendelea kutolewa kote duniani kufuatia kifo cha muasisi wa taifa la Zambia hayati Kenneth Kaunda.
- Wimbi la tatu la maambukizi ya COVID-19 laendelea kuwa changamoto kubwa katika nchi nyingi barani Afrika.

- Waethiopia waendelea kujiandaa kwa uchaguzi mkuu utakaofanyika wiki ijayo.