Duniani Leo Juni 12, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Takriban nusu darzeni ya majimbo Marekani ikiwemo Texas na Arizona yanapambana na kuongezeka maambukizo ya COVID-19.
Utekelezaji wa biashara huru katika Afrika utaanza kutekelezwa Januari 2021.