Duniani Leo Juni 11, 2020

Your browser doesn’t support HTML5

WHO yaonya kuwa COVID-19 imeenea bara la Afrika ambalo ni la mwisho kuathiriwa vibaya duniani.
Baraza la Mawaziri Burundi lakutana kuangalia muendelezo wa utawala baada ya Rais Pierre Nkurunziza kufariki kwa ghafla.